Showing posts with label DIMBANI. Show all posts
Showing posts with label DIMBANI. Show all posts

DAKTA MWAKYEMBE AZIKURUPUA YANGA NA SIMBA KUHAKIKISHA WANALIFANYA HILI IPASAVYO.

Waziri wa Habari, Sanaa Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amezishangaa timu za Yanga na Simba za Tanzania kuwa licha ya umri mref...
Read More

GODWIN GONDWE AMETAMBA KUUNDA TIMU ITAKAYOPAMBANA NA TIMU ZA LIGI KUU BARA.

Mwanzilishi wa Mashindano ya Uchumi Cup Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe ametamba kuunda timu ambayo itapambana na timu kubwa za Mk...
Read More

YANGA WATALAZIMIKA KUPAMBANA NA HALI YAO FA BAADA YA KUPANGWA DIMBA LA MAJI MAJI SONGEA

MABINGWA wa zamani wa kombe la FA, Yanga watalazimika kupambana na hali yao baada ya kupangwa na Majimaji katika michuano hiyo huku mchezo ...
Read More

MAAMUZI BINAFSI YA MAHREZ KUHUSU KUREJEA MAZOEZINI LEICESTER CITY.

Riyad Mahrez anatarajiwa kurejea mazoezini hii leo siku ya Ijumaa ikiwa ni maamuzi yake binafsi na tayari kuisaidia Leicester City itakapo...
Read More

AJIB, ROSTAND WAREJEA MAZOEZINI KAMILI GADO KUWAVAA ST LOUIS KESHO LIGI YA MABINGWA AFRIKA.

MCHEZAJI kipenzi cha wana Yanga, Ibrahim Ajib Migomba jana amefanya mazoezi kikamilifu kuelekea mechi ya kwanza wa Raundi ya kwanza ya Li...
Read More

USHINDANI VPL WAWAPA PRESHA RUVU SHOOTING, WAJITABIRIA MAKUBWA MPAKA MWISHONI MWA MSIMU HUU.

Uongozi wa Ruvu Shooting umesema ubunifu wa mbinu mpya za kuboresha kikosi chao unaofanywa na benchi zima la ufundi ndio unaosaidia tim...
Read More

BAO LA COUTINHO LIMEISAIDIA FC BARCELONA KUTENGENEZA REKODI HII MPYA KWENYE COPA DEL REY.

Klabu ya Barcelona Jana usiku imefanikiwa kutinga fainali ya Kombe la Mfalme nchini Hispania (Copa del Rey) kwa kuicharaza klabu ya Valenc...
Read More

BAO LA KWANZA LA ROBIN VAN PERSIE NA KLABU YAKE YA FEYENOORD.

Mchezaji Robin van Persie hapo jana alifanikiwa kufunga goli lake la kwanza tangu ajiunge na klabu ya Feyenoord na kuisaidia timu hiyo ku...
Read More

MAJIBU YA BETRAM NCHIMBI WA NJOMBE MJI FC KUSALIA LIGI KUU BARA MSIMU UJAO.

Mshambuliaji wa Njombe Mji, Ditram Nchimbi amesema licha ya kuwa kwenye nafasi ya  mwisho kwenye  msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara watahak...
Read More

ALLI HASSAN MWINYI MGENI RASMI SIMBA VS GENDARMERIE NATIONALE FC JUMAPILI.

Mkuu wa kitengo cha habari na mawasiliano ya klabu ya Simba, Haji Manara kupitia mkutano wake na waandishi wa habari mchana wa leo amesema...
Read More

TETESI ZA SOKA KUANZIA ULAYA HADI AFRIKA MASHARIKI LEO FB 8 2018.

Liverpool inajiandaa kwa jaribio la pili kumsajili kiungo wa wakti wa Monaco mwenye umri wa miaka 22 Thomas Lemar wa Ufaransa baada ya ku...
Read More

MANARA AWAPIGA STOP MASHABIKI WA SIMBA KUWAZOMEA YANGA JUMAMOSI TAIFA.

Afisa habari wa Klabu ya Simba Haji Manara amewaonya mashabiki wa wekundu wa Msimbazi kuacha kuwazomea mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanz...
Read More

YANGA WAMEPIGWA MARUFUKU KUFANYA MAZOEZI UWANJA WA TAIFA.

Klabu ya Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wamezuiliwa kufanya mazoezi katika uwanja wa Taifa uliopo Jijini Dar es Salaam...
Read More

MAAMUZI YA MAHAKAMA YA KISUTU KWA RAIS WA ZAMANI TFF JAMAL MALINZI.

Kesi inayomkabili aliyewahi kuwa Rais wa Shirikisho la Mpira nchini Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ya kuhujumu uchumi imeahirishwa mpaka F...
Read More

IFAHAMU MIPANGO YA MANISPAA YA KINONDONI KWENYE MPIRA WA MIGUU NCHINI NIMEKUWEKEA HAPA.

Mara baada ya Timu ya KMC kufanikiwa kupanda daraja msimu huu kushiriki Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara msimu ujao wa 2018/19, Meya wa Ma...
Read More

MRISHO NGASSA AMEMALIZA UKAME WA MABAO KWA KUWAFUNGA WAAJIRI WAKE WA ZAMANI.

KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mrisho Khalfan Ngassa jana amefunga bao lake la kwanza katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania ...
Read More