Showing posts with label VPL. Show all posts
Showing posts with label VPL. Show all posts

HIKI NDIYO KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOIVAA RUVU SHOOTING JIONI YA LEO

Klabu ya Simba leo inashuka katika dimba la uwanja wa Uhuru saa 10:00 jioni kusaka pointi 3 mbele ya klabu Ruvu Shooting kutoka mkoani Pwa...
Read More

ELIAS MAGULI AWEKA WAZI KILICHOMKAMISHA POLOKWANE CITY YA NCHINI AFRIKA KUSINI.

Akizungumza na Tiktaktz Maguli amesema, Mara baada ya kumalizika kwa michuano ya Cosafa mwezi Juni Mwaka jana nchini Africa kusini,  ...
Read More

LIPULI FC IMEFUNGWA NA YANGA LEO SAMORA STADIUM KWA MARA NYINGINE.

YANGA SC imejivuta kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, Lipuli Uwa...
Read More

SINGIDA UNITED WAMESHINDA KWA MARA YA KWANZA NAMFUA, DHIDI YA MWADUI FC.

TIMU ya Singida United imeibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Mwadui FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara mchana wa l...
Read More

RASMI STAND UNITED VS MTIBWA SUGAR KUPIGWA JUMAPILI KATIKA UWANJA HUU.

Kikosi cha Mtibwa Sugar weekend hii wanataraji kushuka uwanjani kukipiga dhidi ya Stand United ya Shinyanga katika mchezo wa ligi kuu bara...
Read More

SAPRAIZI YA KOCHA MKUU WA AZAM FC AAHIDI KUTWAA UBINGWA WA VPL

Kocha Mkuu wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Aristica Cioaba, ameweka wazi kuwa kikosi hakitarudi nyuma kwenye mbio za ...
Read More

YANGA KAMILI GADO KUIFUATA LIPULI LIGI KUU JUMAMOSI UWANJA WA SAMORA.

KIKOSI cha Yanga kinaondoka leo mjini Mbeya kwenda Iringa tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Lipuli...
Read More