Klabu ya Simba leo inashuka katika dimba la uwanja wa Uhuru saa 10:00
jioni kusaka pointi 3 mbele ya klabu Ruvu Shooting kutoka mkoani Pwani
kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara mzunguuko wa 16.
Kocha mkuu wa Klabu hiyo, Pierre Lechantre amepanga kikosi cha kwanza kwa kuanza na nahodha John Bocco , Kapombe, Mzamiru , Kwasi , Mkude, Nyoni, Mlipili, Kichuya, Ndemla na Okwi huku Kitandu, Mavugo na Kazimoto wakianzia benchi.


0 comments :
Post a Comment