VISIWANI UKEREWE:HIVI NDIVYO VISIWA VYENYE BONGE LA HISTORIA YA PEKEE KWA MANDHARI YA KITALII TANZANIA,AFRIKA NA DUNIANI KOTE.

Huu ni mto maarufu sana Afrika mashariki,Pembe ya Afrika na Misri,Mto Kagera unaotoa maji yake kutoka Ziwa Viktoria na kuyapeleka Mto Nile.Unajua unaanzia wapi ni Wilayani Ukerewe Mkoani Mwanza.




















Chanels na streams za Mto Kagera Wilayani Ukerewe kama zinavyoonekana  hapa.























Tanzania,Tanzania nakupenda kwa moyo wote,nchi nzuri yenye uoto wa asili na rasilimali nyingi,nakupenda kwa moyo wote.





















Kilimo nacho hakiko nyuma visiwani Ukerewe,kinachoonekana ni mashamba (majaruba) ya mpunga kandokando ya Mto Kagera unapoanzia.

   Kijani kibichi hicho cha zao la mpunga kinaifanya Wilaya ya Ukerewe kuvutia kwa kiwango cha ajabu sana.























Kama hunijui mimi ndo mpunga nikipewa maji tu nastawi na kukuzawadia utamu wangu kwenye sahani.Nitunze basi eti?
























Mpunga kama unavyoonekana ukifurahia hali nzuri ya hewa ya visiwa vya ukerewe kando ya mto Kagera.























Watoto wa kikerewe wakivua samaki kwa kutumia mshipi na ndoana.
























































Chezea samaki wewe a.k.a jiswi a.k.a echililo hao ndo wakere bwana wakiifanyia kazi idara ya uvuvi  visiwani humo.









Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment