Showing posts with label ULAYA. Show all posts
Showing posts with label ULAYA. Show all posts

SAMATTA AMECHEZA DAKIKA 90 NA KUISAIDIA GENK KUPATA USHINDI HUU UGENINI.

NAHODHA wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana amecheza kwa dakika 68, timu yake, KRC Genk ikiibuka na ushindi wa 1-0 ugenini katika mchez...
Read More

ELIAS MAGULI AWEKA WAZI KILICHOMKAMISHA POLOKWANE CITY YA NCHINI AFRIKA KUSINI.

Akizungumza na Tiktaktz Maguli amesema, Mara baada ya kumalizika kwa michuano ya Cosafa mwezi Juni Mwaka jana nchini Africa kusini,  ...
Read More

Maradona anyimwa visa ya kuingia Marekani kwa kumtusi Rais Trump.

Nyota wa zamani wa soka nchini Argentina Digo Maradona amenyimwa kibali cha kuingia nchini Marekani baada ya kudaiwa 'kumtusi' r...
Read More

Huu Ndiyo Ujumbe wa Mourinho kwenye birthday ya mtoto wake baada ya kutimiza miaka 18

Meneja wa Manchester United, Jose Mourinho amemtakia furaha ya kuzaliwa mwanawe wa kiume Zuca baada ya kutimiza miaka 18 huku akiposti pic...
Read More

Majibu ya Wenger Kwa mashabiki wa Arsenal Juu Ya kumuona Aubameyang dhidi ya Everton.

Kupitia kikao chake na waandishi wa habari mapema hii leo meneja wa klabu ya Arsenal, Arsena Wenger ameonekana kuwakatisha tamaa mashabiki...
Read More

Ozil amalizana na Arsenal, Huu Ndiyo mshahara wake Ndani Ya Klabu Ya Arsenal kwa wiki.

Kiungo wa Arsenal ambaye alizua wasi wasi mkubwa wa kuondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu, Mesut Ozil amesaini mkataba mpya wa kue...
Read More