HAIJAWAHI TOKEA! BRASIL KWISHAAAA HABARI! YACHAPWA KICHAPO CHA MBWA MWIZI KOMBE LA DUNIA YAPIGWA 7-1 NA UJERUMANI

!!!....MUDA NDIYO SASA....!!! 


Timu ya taifa brasil usiku huu imetolewa kwenye mashindano ya kombe la dunia baada ya kupiga bao saba kwa moja na ujerumani. hadi mapumziko germany ilikuwa mbele kwa bao tano kwa sifuri.bao la kufutia machozi la brasil limefunga na oscar katika dakika za mwisho.

23:10 Thomas Muller anaiweka Ujerumani mbele 1-0
23:10 GOOOOOOOOOAL
23:11 Ujerumani 1-0 Brazil

Ujerumani 1-0 Brazil
23:18 Brazil wanaonekana wameduwazwa na bao hilo la Muller
23:15 Kona kuelekea upande wa Ujerumani

Bao la Muller


23:10 Thomas Muller anaiweka Ujerumani mbele 1-0

23:10 GOOOOOOOOOAL
23:11 Ujerumani 1-0 Brazil
Bao la Milaslav Klose
23:10 Thomas Muller anaiweka Ujerumani mbele 1-0
23:10 GOOOOOOOOOAL
23:11 Ujerumani 1-0 Brazil
23:20 GOOOOOOAL
23:20 Ujerumani 2-0 Brazil
Ujerumani hawajawahi kushindwa katika mechi ambayo wametangulia kufunga.
Wafungaji mabao ya Ujerumani
00:59 Miroslav Klose anapumzishwa Andre Schurrle anaingia
00:58 Brazil inaendelea kutafuta angalau bao la kufutia machozi lakini Nuer hapishi
00:60 Ujerumani 5- Brazil
00:70 Andre Schurrleanafanya mambo kuwa 6-0 kwa Ujerumani.
00:70 GOOOOOOOAL
 mashabiki wa brasil wakiwa hawaamini kilichotokea baada ya timu yao kuchapwa bao saba kwa moja kitu ambacho ni aibu kwa taifa hilo kumbwa ambalo halijawahi kufungwa kiasi hicho cha magoli katika mchezo wowote.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment