ALICHOAMBULIA RAIS TRUMP BAADA YA KUIPONGEZA PHILADEPHIA EAGLES KUTWAA UBINGWA.



Baada ya hapo jana timu ya mchezo wa Rugby nchini marekani inayojulikana kwa jina la  Philadelphia Eagles kuchukua ubingwa wa mchezo huo (Super Bowl) Rais wa Marekani Donald J. Trump alitumia muda wake katika kuhakiksha anawapongeza kwa mchezo mzuri timu hiyo hali iliyofanikisha wao kutwaa ubingwa.




Baada ya Andiko la Rais Trump katika ukurasa wake wa twitter kuipongeza timu hiyo  Katika hali isiyo ya kawaida  Muongozaji wa mtandao wa twitter wa timu hiyo alijibu andiko la pongezi la Rais Trump kinyume na matarajio ya  wadau wengi kutoka timu hiyo kwenda kwa Rais Trump  awali Rais Trump aliandika:  Congratulations to the Philadelphia Eagles on the a great Super Bowl victory.



Baada ya Andiko hilo lililolenga kuipongeza timu hiyo Majibu ya Timu ya Philadelphia Eagles kwa kujibu kwa kuandika  Go fuck yourself.
Share on Google Plus

About Tiktak

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment