Klabu ya Yanga imechomoza na ushindi wa mabao 4 – 0 dhidi ya timu ya
Njombe Mji mchezo uliyopigwa uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
Mabao ya Yanga SC yakifungwa na mchezaji Obrey Chirwa matatu na Juma
Mahadhi huku mabingwa hao watetezi wakisogea hadi nafasi ya pili baada
ya kutimiza pointi 34 nyuma ya Simba SC wenye 38 katika msimamo wa ligi
kuu Tanzania Bara.



0 comments :
Post a Comment