Klabu ya Sevilla usiku wa kuamkia leo imefanikiwa kutinga fainali ya
kombe la Mfalme nchini Hispania kwa ushindi wa 2-0 dhidi ya Leganes.
Kwenye mchezo wa kwanza timu hizo zilitoka sare ya goli 1-1 ambapo Sevilla imetinga fainali kwa jumla ya magoli 3-1.
Magoli hayo yaliyofungwa na Joaquin Correa na Franco Vazquez
yamekamilisha safari ya Secvilla ambapo leo kuna mtanange mwingine kati
ya Barcelona na Valencia ili kupata timu nyingine ya kwenda fainali

0 comments :
Post a Comment