BONDIA CHEKA ABADILISHIWA KIFUNGO SASA ATATUMIKIA AKIWA NJE


Bondiamaarufu zaidi nchini wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka amerejea uraiani baada ya mahakama 
kutengua kifungo chake cha miaka mitatu jela badala yake atatumikia
adhabu yake hiyo akiwa nje ya gereza.


Cheka ameachiwa leo Jumanne baada ya kushinda rufaa yake aliyokata kupinga
kifungo cha miaka mitatu gerezani.
Cheka alihukumiwa kwenda miaka mitatu jela na kulipa faini ya sh. milioni moja hukumu iliyosomwa na hakimu wa mahakama ya morogoro Saidi Msuya kwa kosa la kumpiga aliyekuwa meneja wa baa yake aitwaye Bahati Kabanda na tayari alianza kutumikia kifungo chake mjini Morogoro.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment