Mneja masoko wa Nyanza Botling Company Ltd Marco Masaka akifafanua jambo wakati wa hafla ya kukabidhi kombe kwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza katika Dimba la Nyamagana ambapo timu ya U-15 ya Mkoa wa Mwanza iliposhinda na kutwaa kombe la Copa-Cocacola.
Washindi wa michuano hiyo wakiwa katika picha ya pamoja na mtangazaji wa KWA NEEMA FM RADIO Joel Maduka.
![]() |
Mmiliki wa Blog hii Erasto Juma nikiwa nimeshika kombe la washindi tukifurahi pamoja.
Nikiwa nimeshika kombe la washindi wa kombe la COPA-COCACOLA timu ya Mwanza ya mabinti U-15.
Mwanza oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.


.jpg)

.jpg)


0 comments :
Post a Comment