Kuelekea pambano la masumbwi hapo kesho siku ya Jumamosi, bondia
Lawrence Okolie amemuonya mpinzani wake Isaac Chamberlain kuwa atarajie
kupata maumivu makali kunako ulingo.
Lawrence Okolie na Isaac Chamberlain wanatarajiwa kuingia ulingoni usiku
wa Jumamosi hii katika uwanja wa The O2 nchini Uingereza.
Kwa upande wake Chamberlain ameahidi ushindi kwa gharama yoyote dhidi
ya bondia huyo hasiye pigika huku Okolie akisisitiza kumchakaza
wikiendi hii.
Pambano hilo linalo simamiwa na promota maarufu nchini Uingereza,
Eddie Hearn’s Matchroom Boxing kwa kushirikiana na Anthony Joshua’s AJ
BXNG unaweza kujipatia bei ya tiketi yako


0 comments :
Post a Comment