MATOKEO VPL:AZAM,SIMBA,WAGISI WAKAYA,ETI NAYO KIBONDE WA LIGI LYON ZATAMBA!!!!!!!!!!!!!!

<<AZAM YAISHIKA YANGA KWA POINTI, YANGA JUU KWA MAGOLI!! 

<<BAADA SARE 2, SIMBA YAPIGA KIMOJA TU MBEYA!!<<COASTAL YASHINDA, IKO 1 NYUMA YA SIMBA!!<<LYON YAIPIGA TOTO MWANZA, YAJIKWAMUA MKIANI!! 

<<BRANDTS AISHUHUDIA AZAM, COMPLEX, JUMAMOSI YANGA v AZAM!

AZAM_FC_PLAYERSKATIKA Mechi 4 za VPL, Ligi Kuu Vodacom, zilizochezwa leo Azam FC waliifunga JKT Ruvu na kufikisha Pointi sawa na Vinara Yanga lakini Yanga bado wako juu kwa ubora wa tofauti ya magoli na pia wana Mechi mkononi huku Simba ikiitungua Prisons Bao 1-0 huko Mbeya na kujikongoja nafasi ya 3 wakiwa Pointi 5 nyuma ya Yanga na Azam wakati huko Mwanza, African Lyon walijikwamua toka mkiani kwa kuichapa Toto African Bao 2-0.
Huko Mkwakwani, Tanga, Wenyeji Coastal Union waliichapa JKT Oljoro Bao 2-0 kwa Bao za Suleiman Kassim na Jerry Santo na kuzidi kujizatiti nafasi ya 4 wakiwa Pointi 1 tu nyuma ya Simba.
Ndani ya Azam Complex, kwenye Viunga vya Jiji la Dar es Salaam, Azam FC, wakishuhudiwa na Kocha wa Yanga Ernie Brandts ambao Jumamosi wanakutana katika pambano la Vinara wa Ligi, waliitandika JKT Ruvu kwa Bao za Khamis Mcha, Bao 2, John Bocco na Abdi Kassim ‘Babi.’
Huko Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine, Mjini Mbeya, Bao la Dakika ya 36 la Amri Kiemba liliwapa Simba ushindi wa Bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons.
VPL: RATIBA/MATOKEO:
Jumatano Februari 20
TANZANIA PRISONS 0-1 SIMBA
COASTAL UNION 2-0 JKT OLJORO
TOTO AFRICANS 0-2 AFRICAN LYON
AZAM FC 4-0 JKT RUVU

Jumamosi Februari 23
YANGA v AZAM FC [UWANJA WA TAIFA, DAR ES SALAAM]
MGAMBO JKT v JKT RUVU [MKWAKWANI, TANGA]
TANZANIA PRISONS v POLISI MOROGORO [SOKOINE, MBEYA]
Jumapili Februari 24
SIMBA SC v MTIBWA SUGAR FC [UWANJA WA TAIFA, DAR ES SALAAM]
Jumatano Februari 27
COASTAL UNION v RUVU SHOOTING [MKWAKWANI, TANGA]
YANGA v KAGERA SUGAR [UWANJA WA TAIFA,  DAR ES SALAAM]
POLISI MOROGORO v MGAMBO JKT [JAMHURI , MOROGORO]
JKT RUVU v TOTO AFRICANS [AZAM COMPLEX, DAR ES SALAAM]
MTIBWA SUGAR v TANZANIA PRISONS [MANUNGU, MOROGORO]

MSIMAMO:
NA
TIMU
P
W
D
L
GD
PTS
1
YANGA
16
11
3
2
21
36
2
AZAM FC
17
11
3
3
17
36
3
SIMBA
17
8
7
2
12
31
4
COASTAL
17
8
6
3
6
30
5
RUVU SHOOTING
15
7
3
5
3
24
6
KAGERA
16
6
6
4
2
24
7
MTIBWA
16
6
5
5
2
23
8
JKT OLJORO
17
5
6
6
-1
21
9
PRISONS
17
4
6
7
-5
18
10
MGAMBO
16
5
3
8
-6
18
11
JKT RUVU
16
4
4
8
-12
16
12
TOTO
17
2
7
8
-11
13
13
LYON
17
3
3
11
-18
12
14
POLISI
15
2
4
9
-10
10
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment