KIMBEMBE CHA AFCON:KEITA AWATUNGUA NIGER

AFCON_2013_LOGO BAO la Dakika za mwishoni la Seydou Keita limewapa Mali ushindi wa Bao 1-0 dhidi ya Niger katika Mechi ya Kundi B la Mashindano ya Mataifa ya Afrika, AFCON 2013, yanayoendelea huko Afrika Kusini na kuwafanya watwae uongozi wa Kundi hilo.

Seydou Keita, Mchezaji wa zamani wa Barcelona, alipachika Bao hilo Dakika 6 kabla ya  mpira kumalizika baada ya Kipa wa Niger Daouda Kassaly kuuutema mpira wa  krosi  kutoka kwa Fousseiny Diawara.
Awali jana. Katika Mechi ya kwanza ya Kundi B, Ghana na Congo DR zilitoka sare ya Bao 2-2.

Ratiba leo:
Jumatatu Januari 21
[SAA 12 Jioni]
Zambia v Ethiopia
[SAA 3 Usiku]
Nigeria v Burkina Faso
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment