Huyu ni mjasiriamali anayefanya biashara yake
Kona ya Bwiru Jijini Mwanza kama alivyokutwa na Paparazi wa mtandao huu
akinadi biashara yake ya matunda kwa mteja.
Apple hizo ni shilingi ngapi kamanda?
Mama mjasiriamali akiuza karanga,ubuyu na bisi katika kituo cha daladala Ghana Jijini Mwnza
Miche ya miti na maua ya aina mbalimbali yanayooteshwa hapa Jijini mwanza katika eneo la Ghana
Panda mti kata mti na siyo kata mti panda.
Mawe ya urembo yanayopatikana Ghana jijini mwanza
Nipeleke unifikishe kwetu.
Vipi unakwenda kona ya bwiru ilemela
0 comments :
Post a Comment